Kuhusu sisi

Afya jamii ni page yenye mjumuiko wa taarifa na makala mbalimbali zinazohusu Afya ya binadamu na Mazingira yake. Ambazo lengo lake ni kuhakikisha jamii ya kitanzania inafaidika na kupata habari na elimu juu ya afya zao, Dhumuni kuu ni kuleta mwamko wa jamii kufahamu umuhimu wa kuwa na afya bora kwa kuwapa elimu,ushauri na mengineyo yahusuyo afya.